Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
November 04, 2023Dhana ya kujiajiriNini ufanye ili ujiajiri ukiwa kazini? Sikiliza episode hii itakupatia kitu wewe uliye ajiriwa na umefanya biashara nyingi na hazikufanikiwa.3 minPlay
November 01, 2023Biashara na UwekezajiUmesha wahi jiuliza biashara ni nini? Uwekezaji je? Na ni nani basi anaweza kuwekeza?Na kwanini watu wengi wanafanya biashara na bado hawafanikiwi kuzikuza? Basi sikiliza episode hii hadi mwisho utajifunza mengi.6 minPlay
March 30, 2020Hazina Yako Iko WapiUsikazanie kutafuta vitu, hutavipata kama unatafuta kwa halali maana pesa na vitu hukujia kwa sababu tu unawajibu wa kuvitumia.7 minPlay
March 28, 2020Hutaeleweka MwanzoniTambua kuwa katika maono hutaeleweka ukiwa katika mchakato. Sikiliza twende pamoja7 minPlay
March 28, 2020Bidii Itakupeleka MbaliWatu wengi wanalalamika hawafanikiwi bila kujua kuna wajibu wanatakiwa kufanya kabla ya kudai mafanikio.4 minPlay