Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mimi huchagua pahali tutakapokutana na rafiki yangu.
Mimi hujaribu nisichelewe
Mimi huandaa nyama kwenye pwani
Mimi hununua nguo nyingi kwa mauzo
Mimi hujipima nguo kwenye chumba cha kupimia nguo.
Mimi hupata mapatano bei
Mimi hunywa kahawa kwa hoteli
Mimi hukutana na marafiki zangu kwa maduka
Mimi huuza nguo zangu sokoni
Mimi huanza kozi mpya
Mimi hutazama sinema mpya
Mimi hupata tiketi ya sinema ya bure.
Mimi hurakibu kwenye mzunguko
Mkahawa hufunguliwa saa nne asubuhi
Mimi huangalia kiashiria bei
Mimi huuliza karani wa mauzo kuhusu bei
Mimi hutembea huku kwa majirani
Mimi hujaribu sampuli katika duka la chokoleti
Mimi hutafuta shughuli za kujitolea
Mimi hupoteza kamera yangu ya digitari
----Formal English----
I choose a place to meet with my friend.
I try not to be late.
I barbecue on the beach.
I buy a lot of clothes at a sale.
I try on the clothes in a fitting room.
I find bargains.
I drink coffee at the café.
I meet my friends at the mall.
I sell old clothes at a flea market.
I start a new hobby.
I watch a new movie.
I get a free movie ticket.
I ride on a roller coaster.
The restaurant opens at 10 a.m.
I check the price tag.
I ask the sales clerk about the price.
I walk around the neighborhood.
I try a sample at the chocolate store.
I look for volunteer activities.
I lose my digital camera.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!