Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mwalimu: Sasa ni wakati wa masomo ya mazoezi.
Maria: Mimi naweza cheza kadanda kwa vile naipenda sana.
Mwalimu: Hivyo ni vizuri mwanafunzi wangu.
Maria: Mimi siwezi kukimbia ama kuimba. Sio mojawapo ya vipawa vyangu
Mwalimu: Maria lakini pia utie bidii sana kwa masomo pia.
Maria: Ndio mwalimu. Mimi naweza kusikiza mafunzo, kusoma vitabu na kucheza kadanda.
Mwalimu: Hapo ni ukweli kwa vile wewe unapita mitihani yako kwa alama ya juu sana.
Maria: Asante kwa kunipa hongera.
Mwalimu: Haya basi sasa wacha sisi sote twende kiwanjani.
----Formal English----
Teacher: Now it is time to do your co-curricular activities.
Maria: I can play football because I like it very much.
Teacher: That is good, my student.
Maria: I can't run or sing. I don't have a talent for either.
Teacher: Maria, you should work hard at your studies too.
Maria: Yes, teacher. I can listen to lessons and read my books and play football as well.
Teacher: That is true, since you pass your exams with very high scores.
Maria: Thanks for your appreciation.
Teacher: Okay then. Let's all go to the fields now.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!