Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal Swahili----
JINSI YA KUHOJI
KUHOJI NI NINI?
Je ungetaka kujua kuhusu mtu ama kitu?
Jia ya fani ya kusoma ni kumhoji mtu.
Kuhoji ni mkutano wa kuuliza maswali.
Mahojiano ni rahisi na fani.
NANI UTAHOJI
Ungependa kumjua babu/nyanya ama jirani vizuri?
Labda ungependa kumjua mwalimu ama rafiki.
Watu wengi hufurahia kueleza masiha yao.
MASWALI YA KUULIZA
Wacha tuseme ungependa kusoma kuhusu babu.
Unaweza muuliza maswali kuhusu nyakati tofauti za masiha yake.
MAISHA YA ZAMANI
1. Mwaka gani ulizaliwa?
2. Ulzaliwa wapi?
3. Ulikulia jijini ama mashambani?
4. Ulikuwa na wanyama wapendwa?
5. Ni nini unakumbuka sana ulipokuwa umri wangu?
ULIPOKUWA UNAKUA
1. Kazi yako ilikuwa gani?
2. Ulimpata nyanya vipi?
3. Umeishi mahali tofauti?
4. Ulienda wapi likizo uliyoipenda?
SASA
1. Una miaka gapi sasa?
2. Ni ni unacho penda sana kufanya?
3. Nini unaweza jivunia?
Ni vitu gani tatu unazopenda kuhusu maisha yako?
Ambia babu yako alete picha mzee akuambie kuihusu.
Pia mwambie alete kitu kuhusu maisha yake itakushangaza.
NINI CHA KULETA
Leta pamoja na babu yako kwa mahojiano ukiweza.
Ni njia mzuri ya kufanya mahojiano.
Leta kitabu cha kukumbuka na kalamu kuandika maelezo.
Kumbuka kuleta orodha ya maswali yako.
Pia leta kamera na njia ya kurekodi mahojiano.
Utataka kusikiza baadaye.
WAKATI WA MAHOJIANO
Weka muda ama enda mapema kidogo kwa mahojiano.
Shukuru babu yako kwa kukutana na wewe.
Ulizia maelezo kufanya mahojiano kuwa ya kuvutia.
Andika maelezo mengi wakati babu yako anaongea.
Ongea kama hujaelewa kitu.
Shukuru babu yako baada ya kumaliza mahojiano.
BAADA YA MAHOJIANO
Tengeneza maelezo zaidi ukifika nyumbani.
Basi utakumbuka zaidi kuhusu mahojiano.
Sikiza rekodi tena baadaye kukumbuka mambo zaidi.
Andika mahojiano yako kama ripoti.
Gawa na familia na marafiki.
Umesoma nini baada ya kufanya mahojiano?
----Formal English----
HOW TO INTERVIEW
WHAT IS AN INTERVIEW?
Do you want to learn more about a person or subject?
A fun way to learn is to interview someone.
An interview is a meeting where you ask questions.
Interviews are easy and fun!
WHO TO INTERVIEW
Do you want to know a grandparent or neighbor better?
Maybe you want to get to know your teacher or a friend.
Most people are happy to share about their lives.
QUESTIONS TO ASK
Let’s say you want to learn about your grandpa.
You can ask him questions about different times in his life.
EARLY LIFE
1. What year were you born?
2. Where were you born?
3. Did you grow up in the city or country?
4. Did you have any pets?
5. What do you remember most from when you were my age?
BECOMING A GROWN-UP
1. What was your job?
2. How did you meet Grandma?
3. How many different places have you lived?
4. Where did you go on your favorite vacation?
NOW
1. How old are you now?
2. What are your favorite hobbies?
3. What are you most proud of?
4. What are three things you love about your life?
Ask your grandpa to bring an old picture to tell you about.
Also ask him to bring something about his life that will surprise you.
WHAT TO BRING
Get together with your grandpa for the interview if you can.
It’s a good way to do the interview.
Bring a notebook and a pencil to take notes.
Remember to bring your list of questions!
Also bring a camera and a way to record the interview.
You’ll want to listen to it later.
DURING THE INTERVIEW
Be on time or a little early for the interview.
Thank your grandpa for meeting with you.
Ask for details to make the interview more interesting.
Take lots of notes while your grandpa is talking.
Speak up if you don’t understand something.
Thank your grandpa again at the end of the interview.
AFTER THE INTERVIEW
Make more notes right [...]