Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
HURUMA YA KUHIFADHI DUNIA
Nyumbani kwetu
Dunia ni nyumbani kwetu
Dunia ikuwa safi na afya, watu huwa na afya
Mimea na wanyama huwa na afya pia
Sisi hupata kila kitu kunataka kutoka kwa dunia
Chakula chetu, nyuma, vifaa na nguo hutoka duniani
Lazima tuhifadhi dunia ndio iendelee kutupa vitu.
Dunia ina matatizo
Tunaweza tengeneza matatizo ya dunia
TATIZO UKOSEFU WA MAJI
Tunataka maji tuishi
Maji safi hutoka mbinguni kama mvua ama theruji
Tunapata maji safi kutoka kwa mito, maziwa na kutoka kwa arthi
Hakuna maji safi ya kutosha
WATU WANAWEZA FANYA NINI
Funga maji unapomaliza kupiga mswaki
Oga kwa muda mrupi
Tengeneza mabomba inayo vunja
Mwagilia nyasi maji kidogo
TATIZO HEWA CHAFU
Tunapofungulia televiseni, sisi hutumia nguvu
Kutumia nguvu mingi hufanya hewa ya dunia kuwa chafu
Tunapoendesha gari, sisi hutumia gesi
Kutumia gesi mingi hufanya hewa ya dunia kuwa chafu.
WATU WANAWEZA FANYA NINI
Zima taa unapotoka kwa chumba
Weka komputa kwa hali ya kulala usipoitumia
Zima televiseni, ( lakini sio friji)
Kutotumia gari sana
Tembea ama tumia baisikeri mara mingi
Ziba kamba za stima
Wacha jua kuleta joto badala ya kuweka joto ya stima
Tumia gari ndogo kutumia gesi ndogo
Panda mimea kusaidia kusafisha hewa ya dunia
Nunua chakula kinacho kua karibu na nyumani
Kwa hivyo magari haitumii gesi kuileta kutoka mbali
Panda bustani
TATIZO TAKATAKA MINGI
Kutupa takataka ni baya kwa mchanga, hewa na maji
Takataka ya plastiki ni hatari kwa wanyama
WATU WANAWEZA FANYA NINI
Safisha takataka
Tumia mara mingi plastiki, glasi na karatasi
Usiweke komputa, televiseni ama simu ya mkono kwa takataka
Tumia vitambaa vya nguo badala ya mifuko ya plastiki
Tumia vitu kwa muda mrefu kabla ya kununua vitu mpya
Nunua kitu unacho hitaji
Peana vitu ambazo huhitaji ndio watu wengine wengine watumie
KUFANYA KAZI PAMOJA
Ongea na marafiki na familia kusaidiana kuifadhi dunia
Fanya kazi pamoja kusaidia kutengeneza matatizo ya dunia
Tunaweza kuwa na nyumba safi iliyo na afya.
Mimea na wanyama inaweza kuwa na nyumba safi na afya pia.
----Formal English----
TAKING CARE OF EARTH
OUR HOME
Earth is our home.
When Earth is clean and healthy, people are healthy.
Plants and animals are healthy, too.
We get everything we need from Earth.
Our food, homes, tools, and clothes come from Earth.
We must take care of Earth so it can keep giving us these things.
Earth has some problems.
We can help fix Earth’s problems.
PROBLEM, NOT ENOUGH WATER
We need fresh water to live.
Fresh water falls from the sky as rain or snow.
We get fresh water from rivers, lakes, and the ground.
There is not enough fresh water.
WHAT PEOPLE CAN DO
Turn off water when you brush your teeth.
Take short showers.
Fix faucets if water is dripping.
Water the lawn less often.
PROBLEM, DIRTY AIR
When we turn on the TV, we use power.
Using lots of power makes Earth’s air dirty.
When we drive, we use gas.
Using lots of gas also makes Earth’s air dirty.
WHAT PEOPLE CAN DO
Turn off lights when you leave a room.
Put computers to sleep when you are not using them.
Turn off the TV (but not the fridge!).
Ride in cars less.
Walk or ride your bike more.
Plug cords into power strips.
Let the sun warm up rooms instead of turning on the heat.
Drive a small car to use less gas.
Plant trees to help clean up Earth’s air.
Buy food that grows close to home.
Then trucks do not use gas to bring it from far away.
Grow a garden.
PROBLEM, TOO MUCH TRASH
Trash dumps are bad for soil, air, and water.
Plastic trash is a danger to animals.
WHAT PEOPLE CAN DO
Clean up litte [...]