Katika episode hii, Michael Kamukulu anaongea na Jane Shussa kuhusu
jinsi mabadiliko ya kidigitali yanavyobadilisha namna ya UZALISHAJI WA MAUDHUI
na MAWASILIANO. Pamoja, wanachunguza athari za mabadiliko haya kwenye sekta
mbalimbali. Wanaongeleo pia usalama mitandaoni nan je ya mitandao katika zama
hizi mpya. Jiunge nao kwenye mada hii ya kuvutia inayojikita katika mabadiliko
yasiyokwepeka kwa wabunifu wa maudhui na mawasilino.
Creative Disruption: The Transformative Power of Digital Shifts in
Content Creation and Communication
In this episode of
"Creative Disruption," host Michael Kamukulu engages in a captivating
conversation with special guest Jane Shussa. They explore how digital shifts
are transforming content creation and communication. From the rise of social
media to the role of artificial intelligence, they provide valuable insights
into the future of these industries. Join them on this inspiring journey
through the evolving landscape of content and communication.