Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kila mwenye macho na sauti hakosi simulizi,hata kama hajui kuandika,akipewa nafasi atakuwa mlumbi. Podcast hii inaelimisha jamii kutokana na mambo yanayojiri maishani mwetu. Elimika , fahamishwa kisha... more
FAQs about LevisJilani:How many episodes does LevisJilani have?The podcast currently has 26 episodes available.
March 20, 2022CHOZI LISILOKAUKA(simulizi)Vita vya baada ya uchaguzi vilimsababisha awe mlemavu wa ustawi katika jamii. Vita vilimpokonya mali na ukwasi wote,amebaki hana nanani...more6minPlay
March 10, 2022MODERN TAARAB SHOW PROMOIam a voice-Over artist and a creative producer in ecn radio,,listen to this promo i edited. i used 10Min to edit this promo...more1minPlay
March 09, 2022WELL MASTERED SHOW RADIO PROMOThis is a show promo@ecn radio, wrote the script, voiced and edited. I took 23 minutes to edit this promo.Radio production its all about creaativity and hardworking....more2minPlay
March 06, 2022RADIO PRODUCTION SESSION Episode 3unaweza kuwa unasikiza radio, ila hujui vitengo mbalimbali vinavyohakikisha kuwa unapata habari kemkem na vipindi murwa vilivyojaa mafunzo.Tambua yote ndani ya radio production session ...more7minPlay
March 03, 2022RADIO PRODUCTION SESSION Episode 2pata kufahamu jinsi mwanahabari chipikizi alifahamu mengi katika maswala mbali na kutambua kuandika na kusoma habari.Anazidi kujinoa huku akiamini kuwa ufahamu wake kuhusiana na maswala ya redio yatazidi kumjenga hasa akijikaza kupata tajriba akiwa angali shuleni....more8minPlay
FAQs about LevisJilani:How many episodes does LevisJilani have?The podcast currently has 26 episodes available.