Mpendwa MUNGU siku zote HAKIKA atatenda na kutimiza chochote alichosema au kuahidi katika NENO LAKE. Ukiliamini lazima litatimia kwako. Haitoshi tu kusikia lazima UAMINI kile anachokuambia MUNGU. Sikilizaaa AMINI UTAUONA MKONO na UKUU WA UTUKUFU WA MUNGU KWAKO.