Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.... more
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.
April 30, 2022SABURI YA IMANI KWA MKRISTO.KUNA wakati tunapitia Mambo na wakati mgumu sana katika maisha yetu. Lakinii NENO LA MUNGU linatutaka tuwe na SABURI / UVUMILIVU KWA MUNGU UNAOTUSAIDIA KUSUBIRIA UTIMILIZAJI WA AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU....more49minPlay
March 26, 2022MWAMINI MUNGU KATIKA SHIDA YAKO.HAKUNA JAMBO lisilowezekana kwa MUNGU WETU. HAKUNAA GUMU KWA MUNGU WETU....more46minPlay
March 26, 2022MTIHANI WA IMANIMpendwa IMANI zetu zinakutana na mitihani au majaribu mbalimbali ili uko ushindi wa kutusaidia KUSHINDA NA KUFAULU MTIHANI WA IMANI....more1h 28minPlay
March 05, 2022MUNGU ANAWEZAA KUTENDA MAAJABU NA MUUJIZA USIYOTARAJIAMpendwa iko NEEMA YA MUNGU yenye UWEZO wa kututendea MAAJABU NA MUUJIZA hata katika kipindi ambacho hatutarajii chochoteee au hutuwezi kuamini tena Jambo fulanii....more45minPlay
December 18, 2021TABIA / SIFA KUU ZA MKRISTO WA KWELIIIII.Mpendwa Ziko sifa au tabia zinazowatambulisha WAKRISTO wa kweli kabisa. Tabia au sifa hizo ni tofautii kabisaa na uanachama wa dini au dhahebu la mtu....more51minPlay
October 30, 2021USHUHUDA WA MUNGU KATIKA MAISHA YA MWAMINI.Mpendwa zipo nyakati za kupimwa IMANI zetu na kuthibitishwa MBELE ZA MUNGU. Sio kipindi rahisi LAKINI MARA ZOTE IKO NEEMA YA MUNGU YENYE KUTUWEZESHA KUSHINDA YOTE....more47minPlay
October 24, 2021KUSIKILIZA SAUTI YA MUNGU NA KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO.UNASIKILIZA SAUTI YA NANI? Na KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO ? Ziko sauti nyingi zinaweza kujaa kuzungumza na wewe wakati unapopitia Hali fulanii, lakini yakupasa kusikiliza SAUTI YA MUNGU....more47minPlay
October 09, 2021UZIMA WA MILELE UKO KWA YESU PEKE YAKE.Mpendwa kwa YESU tunafuata uzima wa milele. Usikubali majaribu,mateso, magumu au majaribu yakakutoa kwa YESU. UZIMA WA MILELE UKO KWA YESU PEKE YAKE....more42minPlay
October 03, 2021MUNGU ANASEMA MKANIITE NAMI NITAWASAIDIA.Mpendwa ziko NYAKATI ambazo unatamani kama ungekuwa unajua nyumbani kwa MUNGU uende ukamlilie apo au ungekuwa na mawasiliano yake upige adi apokee akusaidie. Mpendwa ninazo Habari NJEMA KWAKO MUNGU AMESEMA MUUITE NAYE ATAITIKA NA kushuka KUKUSAIDIA....more47minPlay
September 29, 2021KUMWAMINI MUNGUMpendwa ili kuona AHADI na Baraka za MUNGU zikitimia juu ya maisha YETU lazima tumuamini MUNGU katika NENO LAKE....more1hPlay
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.