Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.... more
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.
September 25, 2021YOTE YAWEZEKANA KWA MUNGU, HAKUNA JAMBO GUMU KWA MUNGU.Mpendwa inawezekanaa kabisaa maisha yako hayana TUMAINI tena, huoni kuwezekana tena, USIOGOPEE MUNGU ANAWEZAA YOTE NA ATAKUSAIDIA NA KUKUTENDEA MEMA KWA JINA LA YESU. SIKILIZAAA UJUMBE HUU....more47minPlay
September 18, 2021NAMNA YA KUYASHINDA MAPENZI NA MPANGO WA shetani DHIDI YA MAISHA YAKO.Mpendwa MUNGU ana MPANGO MZURI na MAISHA YAKO, lakini shetani siku zote anatafuta kuyaharibu au kuyazuia HAYO MAPENZI YA MUNGU KWAKO. JIFUNZE NAMNA au mbinu za KUYASHINDA na KUYAZUIA mapenzi na mpango wa shetani katika maisha YAKO....more50minPlay
September 18, 2021NENO TOKA KWA MUNGU.Mpendwa ziko NYAKATI katika maisha yako unatakiwa usikie toka kwa BWANA MUNGU. Ujue Pamoja na yote yaliyokuzunguka BWANA MUNGU wako anazungumza nini?. Ujumbe huu ukawe JIBU la MUNGU juu YAKO KATIKA JINA LA YESU....more49minPlay
September 10, 2021KUTEMBEA NA YESUMpendwa ziko NYAKATI AMBAZO zitatokea katika maisha YAKO, utamhitaji Sana YESU. Hakikisha siku zote unatembea na YESU ili AKUSAIDIE....more44minPlay
September 05, 2021KWENU WAPII???Mpendwa hapa DUNIANI hatutaishi milele. Iko siku tutaondoka je? Ukiondoka unaenda WAPI ?? MBINGUNI au kuzimu/motoni MILELE ??. LAZIMA uchague KWENU ukiwa hai. Sikilizaaa UTABARIKIWA na kubadilishwa....more51minPlay
August 07, 2021KUJUA SAUTI NA MAPENZI YA MUNGU.ROHO MTAKATIFU huliongoza kanisa yaani kila Mkristo mmoja MMOJA kuijua SAUTI ya MUNGU na MAPENZI YA MUNGU. SOMO hili litakusaidia kukuwekea msingi wa kuanza kuongozwa na ROHO MTAKATIFU katika kuyajua na kutenda MAPENZI YA MUNGU....more52minPlay
July 26, 2021USHIRIKA NA YESU.Mpendwa MUNGU ametuokoa tuwe na ushirika na YEYE. Ametupa ROHO MTAKATIFU atusaidie na kutuwezesha katika huu ushirika. Hatutakiwi kuwa na ushirika na dini au madhahebu Bali YESU....more54minPlay
July 10, 2021UMEWAKA WAPI IMANI YAKO?Mpendwa UKRISTO wetu umetoka kwa MUNGU hivyo na IMANI zatu lazima tuweke kwake sio dini au dhehebu lolote. YESU NDIYE MWANZILISHI wa IMANI yetu....more51minPlay
July 03, 2021UMEMPOKEA YESU ?Watu wangi wamepokea dini na madhahebu na sio YESU. Kumpokea YESU ndio kupokea UKRISTO AU WAKOVU. UKRISTO HAURITHIWI kamwe, unaweza kurithi dini na madhahebu na sio UKRISTO yaani WAKOVU....more48minPlay
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.