Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.... more
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.
June 28, 2021NENO TOKA KWA BWANA.Mpendwa zipo nyakati unatakiwa usikie toka kwa MUNGU peke yake maana maneno faraha na upendo wa wanadamu hautakusaidia KITU....more1hPlay
June 26, 2021KUMIMINA MOYO WAKO KWA MUNGU.Mpendwa kuna Mambo ambayo ni MUNGU peke yake anaweza kukusaidia hutakiwi kuwaambia watu bali MWAMBIE MUNGU mwenyewe....more40minPlay
June 19, 2021DAMU YA YESU.Ni DAMU YA YESU peke yake inayoweza kuondoa dhambi za wanadamu....more30minPlay
June 06, 2021IMANI YAKO INASEMAJE ??Katika kila Jambo linalotokea lazima ujiulize IMANI YAKO INASEMAJE NDANI YAKO....more50minPlay
June 06, 2021IMANI ILIYO NDANI YAKOIMANI iliyo moyoni mwako ina NGUVU kubwa ya kubadilisha maisha yako. Pia ina nguvu ya kubadilisha kitu au mazingira yoyote katika maisha yako....more1h 49minPlay
June 06, 2021MAUMIVU YA UPENDOUPENDO UNA gharama zake. Unapoamua kupenda lazima ukubali kulipa gharama za huo upendo wako kwa huyo uliyempenda....more1h 37minPlay
April 17, 2021UJASIRI WA IMANI ZETU KATIKA MUNGU.Mpendwa kutimiza kusudi la MUNGU katika maisha yako lazima uwe JASIRI wa IMANI. Kupokea MIUJIZA au MAJIBU ya maombi yako lazima uwe JASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU NA NENO LAKE. SOMO HILI LITAKUSAIDIA KUJENGA UJASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU....more50minPlay
April 10, 2021LIAMINI NENO LA MUNGU.Mpendwa MUNGU siku zote HAKIKA atatenda na kutimiza chochote alichosema au kuahidi katika NENO LAKE. Ukiliamini lazima litatimia kwako. Haitoshi tu kusikia lazima UAMINI kile anachokuambia MUNGU. Sikilizaaa AMINI UTAUONA MKONO na UKUU WA UTUKUFU WA MUNGU KWAKO....more50minPlay
April 07, 2021HUKUNA MTU WALA KITU CHA KUKUZUIA .Mpendwa hakuna MTU mwenye nguvu au cheo anayeweza kukupinga au kukuzuia. Pia hakuna kiumbe chochote kile kinachoweza kukuzuia. Nguvu za giza zote kamwe haziwezi kukuzuia au kukupinga unapokuwa umeokoka na unamwamini MUNGU katika YESU KRISTO....more1h 27minPlay
FAQs about MOZE KIMARO:How many episodes does MOZE KIMARO have?The podcast currently has 29 episodes available.