Kwanini kupungua uzito ni hitaji la watu? Nini tuzingatie ili kupungua uzito bila kuathiri afya zetu kwa ujumla? Karibu ujifunze vyema kupitia sehemu hii ya vipindi vya lishepoints.
Ulaji wa milo yenye mchanganyiko wa vyakula kutoka makundi yote ya chakula ni muhimu katika kuimarisha hali ya lishe na afya ya binadamu. Jifunze zaidi juu ya makundi haya ya chakula kupitia episode hii.
Matumizi ya vyakula sahihi kutoka kwenye makundi yote matano ya chakula husaidia katika kulinda na kuimarisha afya ya vinywa vyetu. Jifunze zaidi kuhusu afya ya kinywa kupitia kipindi hiki.
18 min
About Lishe Points
From the publisher's feed
Lishe points ni kipindi cha elimu lishe,kwa lugha ya kiswahili. Kipindi kinachotumiwa na wataalamu bobezi wa afya na lishe kueleza namna ya kuboresha kinga mwili, Tiba kupitia lishe na namna ya…
kuboresha matumizi mazuri ya makundi ya chakula kuboresha afya. Karibu ujifunze kila Jumatatu na Alhamisi