Amedeus Live Podcast

Lulu nzuri na ya Thamani


Listen Later

Wewe ni mwenye thamani kubwa sana mbele za Bwana Yesu. Yeye anakupenda sana na anataka ujue hivyo na ulimwengu wote ujue kwamba anakupenda na wewe ni kazi ya mikono yake. Jifunze zaidi kwenye nakala hii ya Rhapsodi ya Uhakika toleo la WASOMAJI WA AWALI - rika kati ya miaka 6 hadi 12.
Wasambazie wengine kweli hii na leta furaha na tumaini la kweli katika maisha yao.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael