Yesaya Software Podcast

Maandalizi na Uandishi wa CV kwa Developers na Umuhimu wake


Listen Later

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Justin Chanda, Senior Software Developer huyu amefanya kazi na kwenye makampuni makubwa hapa Tanzania. Nilipenda kufahamu anapenya penyaje kwenye hizi interview, lakini kubwa anaandika nini kwenye CV yake? Umuhimu wa CV kwa Developer ukoje, na je ni CV moja kwa kazi zote utakazo ziona au kila kazi ya CV yake?  

Justin amenieleza 

  1. CV ni muhimu katika kupata kazi
  2. Mambo gani ya kufanya kabla ya Kuandika CV
  3. Mambo gani ni muhimu kuweka kwenye CV ya Developer?
  4. CV inaweza kusaidia kupata kazi hata kama sina experience?
  5. CV inatumika vipi kwenye interview/usaili
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings