Sign up to save your podcasts
Or
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na waandaji na washiriki wa Sherehe ya Developers hapa Tanzania yaani Devfest. Devfest ni sherehe za kila mwaka kwa developers, tumekuwa tukienda pale Buni pamoja na yote kuhusu TEHAMA tumekuwa tukila na kujumuika kwa pamoja. Sasa sherehe hizi zimenasimamiwa na community ya Google Developers Group (GDG), kupata update kutoka kwao wafuate pale Twitter @GDGDarEsSalaam.
Kwenye mazungumzo haya nilimwalika Georgia, yeye ni mmoja wa waandaji wa sherehe hizi, yupo pia Veronica ambaye mwaka jana alikuwa sehemu ya walioshiriki kuendesha sherehe hizo. Ninao pia wazungumzaji (speakers) kwenye event ya mwaka jana (David Tan pamoja na Fred German). Event hii kwa mwaka jana ilipata wageni kutoka nje ya nchi, nilimwalika Frank Tamre kutoka Kenya azungumze nasi. Hebu angalia link Pale Twitter na kwenye maelezo ya Podcast hii,ujiandikishe kushiriki event ya mwaka huu.
Link: https://www.meetup.com/GDG-Dar-es-Salaam/events/273674254/
5
22 ratings