Pasipo Imani haiwezakani kumpendeza Mungu. Imani ni mtindo wa makusudi au kudhamiria wa Mkristo. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo na washirikishe vijana (Teenagers) wengine kila Mahali ndani ya Tanzania.
Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku.