Share Malezi na BRAC
Share to email
Share to Facebook
Share to X
Utajifunza Mchezo inayomsaidia mtoto kukua kimwili na kijamii. Tutacheza mchezo wa nyama nyama na kuruka zigi zaga
Kipindi hiki kilirushwa 2.10.2020
Kipindi hiki kinaguia michezo ya kijamii na kihisia, pia tutafahamu njia za kuwasiliana na mtoto.
Kipindi kilirushwa 10.8.2020.
Katika kipindi hiki tutajifunza michezo ya kimwili na kijamii. Ambapo tutaiangalia michezo ya simama kaa na kiokoe kikombe na sehemu ya pili tutaongelea aina ya kwanza ya malezi ambayo ni malezi ya kimabavu.
Usikose kufatilia vipindi hivi kila siku ya Jumatatu, Jumatani na Ijumaa 9:30-10:00 Alasiri.
Kipindi hiki kilirushwa TBC Taifa tarehe 4.9.2020.
Tulikua na mgeni Afisa ustawi wa Jamii kutoka hospitali ya Amana Bwana Sufian Mndolwa. Ndugu Mndolwa ameongelea kuhusu kituo cha mkono kwa mkono (One stop center).
Kipindi hiki kilirushwa TBC Taifa Jumatno 12.8.2020.
Sehemu ya kwanza inaongelea michezo ya kusoma na kuandika ambapo tutajifunzahadihi ya kuku na bata na shairi la sakamaide. Sehemu ya pili ya kipindi hiki inahusu aina ya pili ya malezi, yaani malezi ya mamlaka na demokrasia.
Vipindi hivi vinarushwa TBC Taifa kila jumatatu, Jumatano na Ijumaa, Usikose kufuatilia
Watoto huelewa zaidi endapo watajifunza kwa njia ya michezo. Karibu ujifunze nasi.
The podcast currently has 6 episodes available.