Yesaya Software Podcast

Mambo ninayofanya Bundle nikiwa sina Internet


Listen Later

Hey, Mambo vipi,

Leo nitakushikisha mambo ninayofanya nikiwa sina access ya Internet - yaani bundle limekata. Kwa kawaida nikiwa na internet na niko nyumbani kama siko na watoto basi muda mingi niko kwenye computer. Sometimes sina mood ya kazi basi hapo ndio ninapoteza muda kwenye magroup na Twitter huko. Ila bundle limekata, ninafanya nini?

Nitafurahi kusikia pia kutoka kwako, kuna rafiki yangu mmoja amenijubu, baada ya kummuliza anafanya nini bundle likikata, ameniambia ananunua bundle.

 

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings