Redio Rumuli Podcast

Mashujaa Wa Imani Aimee MCPhason


Listen Later

Hiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao.

Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.

nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Redio Rumuli PodcastBy Rumuli Podcast