SIRI ZA BIBLIA

MATHAYO 9:KUFUNGA NA KUOMBA


Listen Later

Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?” 15Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.

16“Watu hawatii kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu. Maana kiraka hicho kitararua hilo vazi kuukuu, na pale palipokuwa pameraruka pataongezeka. 17Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vikuukuu. Wakifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. Ila, watu huweka divai mpya katika viriba vipya, na vyote viwili, viriba na divai, vikahifadhiwa salama.”

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

SIRI ZA BIBLIABy SIRI ZA BIBLIA


More shows like SIRI ZA BIBLIA

View all
TIMIZA MALENGO YAKO by Joel Arthur Nanauka

TIMIZA MALENGO YAKO

5 Listeners

Timiza Malengo by Joel Nanauka

Timiza Malengo

0 Listeners

Innocent Morris by Innocent Morris

Innocent Morris

0 Listeners