Yesaya Software Podcast

Mchango kwenye Open Source Community na Kalebu


Listen Later

Asante sana kusikiliza Yesaya Software Podcast na Leo ninazungumza na Kaleb Gwalugano. Kaleb ni Software Developer na nilifanya mazungumzo nae kuhusu mchango wake kwenye Open Source community. Je, unadhani

1. Kuna wajibu kutoa mchango wako kutengeneza na kusaidia Open Source project?

2. Na vipi unaweza kabiliana na mani hasi wakati ukiwa unajaribu kusaidia Open Source project.

Basi waambie wengine unaweza kusikiliza Yesaya Software Podcast kupitia Google au Apple Podcast vilevile kwenye Spotify au Amazon Music. Pia kuna Youtube channel ya Yesaya Software ambayo ninawek a video kuhusu programming na zipo tutorial kadhaa unazoweza ziangalia.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings