
Sign up to save your podcasts
Or


Kupitia mentorship sessions zinazoandaliwa na Smart Genaration kwa vijana,Joseph Kusaga alipata nafasi ya kushare safari yake ya maisha. Misukosuko, mafanikio, mafunzo na vitu mbalimbali alivyokutana navyo wakati akijenga taasisi zake. kupitia hizi anatamani vijana wengine pia wazitambue ndoto zao na waanze kuzitendea kazi.
By Smart GenerationKupitia mentorship sessions zinazoandaliwa na Smart Genaration kwa vijana,Joseph Kusaga alipata nafasi ya kushare safari yake ya maisha. Misukosuko, mafanikio, mafunzo na vitu mbalimbali alivyokutana navyo wakati akijenga taasisi zake. kupitia hizi anatamani vijana wengine pia wazitambue ndoto zao na waanze kuzitendea kazi.