Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.