Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Mambo jambo Mathematics:How many episodes does Mambo jambo Mathematics have?The podcast currently has 8 episodes available.
December 01, 2022mambo jambo mwanzo mpyaleo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport....more2minPlay
September 06, 2020UpendoUpendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe....more12minPlay
August 15, 2020MichezoMpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani....more11minPlay
August 15, 2020Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijuaKuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao...more6minPlay
December 30, 2019Namna ya kukuza/ongeza thamani yakoNi namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako...more17minPlay
December 28, 20192020 nini matarajio yetu?Ikiwa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa na kutazamia kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, je kuna mabadiliko tunayoweza kuyarajia? Tume huru ya uchaguzi yaweza kupatikana?--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message...more5minPlay
December 09, 2019Uhuru kwako wewe una maana gani?Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo...more13minPlay
December 08, 2019Umuhimu wa fedha katika biashara yakoFedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia...more15minPlay
FAQs about Mambo jambo Mathematics:How many episodes does Mambo jambo Mathematics have?The podcast currently has 8 episodes available.