H.W PODCAST - Positive Vibes!

MIPANGO


Listen Later

Watu wengi hudhani kuwa wakipata fedha nyingi ndio watafanya mambo fulani makubwa. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawana umadhubuti wa matarajio yao, yapo hewani tu.

Fuatilia mtiririko wa episode hizi kwa katika YouTube: H.W TV na Podcast: H.W PODCAST kila wiki.
Maoni yako ni muhimu na atunayathamini sana, hivyo tuma ujumbe wako wa sauti kwa njia ya WhatsApp nasi tutaumbatanisha katika toleo lijalo au tuandikie kupitia 0753825794 au barua pepe [email protected].
Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi kuhusu program zetu na kuwa sehemu ya jamii hii.
Tunapenda sana ukisikiliza, lakini tunapenda zaidi ukifanya. Kwahiyo fanya zaidi na uwe zaidi. Cheers!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

H.W PODCAST - Positive Vibes!By Hub of Wisdom inc.