Ikiwa unaanza au ni mzoefu tayari katika eneo la uwekezaji kupitia hisa, UTT, hati fungani (bonds) katika video hii mwanataaluma Mwl. Emilian Busara (MBA, CPA) katika uongozi katika biashara, miradi na fedha anakufundisha hatua kwa hatua mbinu rahisi na za kipekee za kuwekeza kwenye hisa na masoko ya fedha kwa mafanikio makubwa!
Utajifunza: jinsi ya kuchagua hisa sahihi, kuanza uwekezaji hata kama una mtaji mdogo, na siri za kukuza pesa zako polepole lakini kwa uhakika. Usikose fursa hii ya kipekee ya kujifunza hatua kwa hatua kuelekea uhuru wa kifedha kupitia uwekezaji.
Kumbuka kusubscribe ili uendelee kujulishwa pindi matoleo kama hili yanapotoka katika Youtube channel H.W TV. Fatilia kupitia H.W Podcast katika majukwaa ya sauti na kupitia mitandao yetu ya kijamii @hubofwisdom.inc au tovuti www.hubofwisdom.com/media
Anza safari yako ya mafanikio leo!
#Hisa #Utt #uwekezaji #fedha #mapato
Toleo hili limeletwa kwako na @h.w.multimedia.inc
Welcome to the home of positive vibes!