Maendeleo ni kitu muhimu na tunahitaji uthubutu na uimara wa kifikra ili tufaulu.
"Na ukitaka kufaulu kuliko kwingi, jifunze sana kutokulaumu watu, jifunze kutokutegemea watu. Jifunze kutengeneza njia." Anasema Ally Masoud. "Mambo yote haya yanaanza na fikra ndugu zangu." @masoudkipanya
....................................................
Kuwa sehemu ya mijadala hii kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0853825794.
Welcome to the hub of positive vibes
#Karibu_nyumbani