Je, unafahamu namna nzuri ya kupenda?
Amri Amri anazungumza juu ya 'namna ya kupenda kweli.'
Namna gani mwenza anatakiwa afanye kwa ajili ya kulinda na kuendeleza mapenzi ya kweli.
Mambo ambayo hutakiwi kufanya kwenye mapenzi.
Kuwa sehemu ya mojadala hii kwa njia ya WhatsApp kwa kutuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.
#Karibu_nyumbani