Amedeus Live Podcast

Mito ya Uponyaji


Listen Later

Ndani Yako itabubujika mito ya Uponyaji....uzima na afya tele! Jiandae kushiriki nasi katika ibada kubwa kabisa ya Uponyaji pamoja na Mchungaji Chris Oyakhilome mwezi March 2024.
Haijalishi Hali imekuwa mbaya kiasi Gani, ibada hii ya Uponyaji itakayorushwa mubashara ni maalumu kwa ajili yako.
Walisiliana nasi leo kwa taarifa zaidi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael