Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Uwanja wakuzungumza mambo mbalimbali ya kuijenga jamii. Tutazungumza kwa uwazi na kwa kulenga kujenga zaidi nyanja mbalimbali za jamii kama vile; Mahusiano binafsi, urafiki, uchumba na ndoa, maadili y... more
FAQs about Mrs Loureen J:How many episodes does Mrs Loureen J have?The podcast currently has 7 episodes available.
March 30, 2023MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 3.Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna mwanadamu anahitaji mtu wakumfuata fuata nyuma au kudhani anayajua maisha yake kuliko yeye mwenyewe.Jali mipaka yako linda mahusiano yako. Kuhusiana vyema ni afya....more16minPlay
March 23, 2023MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 1Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna mwanadamu anahitaji mtu wakumfuata fuata nyuma au kudhani anayajua maisha yake kuliko yeye mwenyewe.Jali mipaka yako linda mahusiano yako. Kuhusiana vyema ni afya....more1minPlay
March 23, 2023MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 2.Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna mwanadamu anahitaji mtu wakumfuata fuata nyuma au kudhani anayajua maisha yake kuliko yeye mwenyewe.Jali mipaka yako linda mahusiano yako. Kuhusiana vyema ni afya....more17minPlay
August 25, 2020KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGUNi vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya vijana ya kimapenzi, yanayoweza kupelekea ndoa). Mara nyingi vijana hupuuzia sana hili ila yapo mambo mengi sana yanaweza yasiende sawa kama jambo hili halijaangaliwa vyema, mambo hayo tutayajadili kwenye meza kwa kiwango tutachojaliwa. Je unayetaka kutekwa naye kwenye pendo ana mahusiano gani na Mungu?? KARIBU...more38minPlay
July 29, 2020KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGUNi vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya vijana ya kimapenzi, yanayoweza kupelekea ndoa). Mara nyingi vijana hupuuzia sana hili ila yapo mambo mengi sana yanaweza yasiende sawa kama jambo hili halijaangaliwa vyema, mambo hayo tutayajadili kwenye meza kwa kiwango tutachojaliwa. Je unayetaka kutekwa naye kwenye pendo ana mahusiano gani na Mungu?? KARIBU...more28minPlay
June 30, 2020VIPAUMBELE VYAKO VINAELEZA NINI KUKUHUSU!Mtu mmoja aliwahi kusema hatma sio kitu unachokiendea bali ni kitu unachokitengeneza unahitaji kuweka vipaumbele vyako sawa(set your priorities right) vipaumbele vyako vitahakisi kwa ufasaha kabisa hatma unayoiendea....more39minPlay
June 21, 2020Utangulizi: Vijana Tuzungumze/ Introduction: Youth Lets talkUtangulizi wa kipindi maalumu kwa ajili ya vijana. Ukiwa na Mtangazaji wako au mwalimu wako Mrs Loureen Jaspin. Jiandae kujifunza mambo mbalimbali....more4minPlay
FAQs about Mrs Loureen J:How many episodes does Mrs Loureen J have?The podcast currently has 7 episodes available.