
Sign up to save your podcasts
Or


Kipindi hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma, hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna majibu mengi ya maswali ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema na bora kwa wahusika.
By Rumuli PodcastKipindi hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma, hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna majibu mengi ya maswali ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema na bora kwa wahusika.