
Sign up to save your podcasts
Or


Send us Fan Mail
Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia.
Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress?
Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baadhi ya maswali ambayo sisi watu wa nje tumekuwa nayo kuhusu pesa na washika pesa.
Ni mazungumzo kuhusu pesa, lakini pia ni mazungumzo kuhusu maisha yetu, namna pesa inavyogusa maisha hayo, na jinsi benki inaweza kutusaidia kupunguza hofu hiyo ya pesa.
Karibu MSASANI. 🎙️
#MSASAPodcast #TunatembeaNaHofuYaPesa #EmmanuelYarediMahodanga #Pesa #Banking #MoneyTalks #FinancialWellness
#MSASAPodcast
Host: Hisia
Instagram: / hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA Podcast on WhatsApp:
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Available on all streaming platforms.
Send us Fan Mail
What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough?
In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, technology, engineering, Arts, and mathematics.
We talk about exposure and ambition, why young people need opportunities to see beyond what they already know, and the importance of building skills that travel with you wherever your career takes you.
Tune in and discover what becomes possible when you expand your exposure, learn how to think, and keep building even when the results aren't visible yet.
Guest:
Instagram: / Lwidiko
#MSASAPodcast
Host: Hisia
Instagram: / hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA Podcast on WhatsApp:
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Available on all streaming platforms.
Send us Fan Mail
People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether.
In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work.
From career progression and workplace culture to performance, retention, the employee employer relationship and the Gen Z workforce, this conversation explores what all of this means from a business perspective and how HR can create value for both the organization and its people.
Send us Fan Mail
Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana.
Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua.
Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua?
Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. 😅
Kila mtu kwenye jamii ana nafasi katika kutengua kitendawili cha kijana kufanikiwa - kuanzia familia, malezi, mazingira, mifumo, hadi kijana mwenyewe.
Na kama jamii ikifeli kutengua hiki kitendawili, kijana anakuwa na hali gani?
Karibu tupate msasa.
Guest: Allan Lucky
Instagram: / allanlucky
#MSASAPodcast #Ujana #TanzanianYouth #YouthDevelopment #YouthEmpowerment #AllanLucky
Host: Hisia
Instagram: / hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA Podcast on WhatsApp:
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Available on all streaming platforms.
Send us Fan Mail
Karibu msasani! 🎙️
Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA.
Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye?
Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu ya kifedha.
Guest: John George
Instagram: / georgejn2000
#FinancialFreedom #Investing #Wealth #PersonalFinance #MSASAPodcast
Host: Hisia
Instagram: / hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share
Send us Fan Mail
Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..
Send us Fan Mail
Je unapenda kula?
Je wewe ni mnazi wa pilau?
Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau?
Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint.
Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni.
Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁
Send us Fan Mail
Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress.
From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology.
But “You can’t build a big business just relying on technology.”
In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, exploring what it really takes to scale, adapt, and empower others in markets that are still finding their digital rhythm.
From the publisher's feed
KARIBU MSASA.
A show where we talk to successful people about FAILURE.