
Sign up to save your podcasts
Or


Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
Katika kipindi hiki tunajadili namna wasichana wanavyoweza kukabiliana na shinikizo la kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, hasa pale wanapoahidiwa msaada wa kifedha, kulipiwa ada za shule au kutatuliwa mahitaji yao.
Tukiwa na mtaalamu wetu - Adina - Dada rafiki (mentor) kutoka GLAMI na mnufaika wa programu ya Kisa. Akizungumzia kwa nini baadhi ya wasichana hushindwa kusema HAPANA, namna ya kujenga ujasiri na kuweka mipaka, na umuhimu wa kujithamini na kufanya maamuzi kwa hiari.
Pia utasikia kwa nini baadhi ya wavulana na wanaume huwapa wasichana shinikizo la kimapenzi, tabia zinazopaswa kubadilika na nafasi ya wazazi katika kuwasaidia watoto wao wa kike kukabiliana na shinikizo hili.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
Kupitia kipindi hiki, utajifunza jinsi joto kali, ukame, mvua kubwa na mafuriko zinavyo athiri afya, ustawi wa kisaikolojia, elimu na maisha ya kila siku ya wasichana.
Utawasikia:
Neville Agesa, mtaalamu wa mazingira na ikolojia kutoka Kenya, atazungumzia mabadiliko ya tabia ya nchi, utunzaji wa mazingira na namna jamii zinavyoweza kujiandaa kukabiliana na majanga yanayosababishwa na mabadiliko hayo.
Mwalimu Agnes kutoka Arusha, Tanzania, atashiriki uzoefu wake kuhusu namna ukame, upungufu wa maji na mvua kubwa vinavyoathiri mahudhurio na maendeleo ya wasichana shuleni.
Mohamed, Diwani wa Kata ya Engutoto, Tanzania, atazungumzia changamoto za kimazingira katika jamii yake na hatua zinazoweza kuchukuliwa na viongozi pamoja na wananchi kukabiliana nazo.
Pia, utajifunza hatua mbalimbali za kuchukua, ikiwemo kutunza mazingira, kupanda miti inayofaa, kujiunga na klabu za mazingira na kujiandaa kukabiliana na majanga ya hali ya hewa.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
This special episode of Msichana Shupavu raises awareness about breast cancer, helping young girls understand normal breast changes, recognize warning signs and know when to seek medical attention. Through insights from a breast cancer survivor and a healthcare specialist, the episode highlights the importance of knowing your body, speaking to parents or trusted adults and seeking medical advice early. It also emphasizes the need for greater parental awareness to help parents confidently discuss breast health with their daughters and introduces the DearYou app as a resource for learning about health and understanding the body. The episode concludes with a special message of care and support from Daring Girls and its partners - GLAMI & CWE-TECH.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Idara ya Hali ya Hewa Kenya wametoa tahadhari kuhusu uwezekano wa mvua nyingi mwishoni mwa mwaka 2026. Mvua hizo zinaweza kusababisha mafuriko, uharibifu wa miundombinu, kuvuruga usafiri na shughuli za kiuchumi. Hali inayoweza kufanya upatikanaji wa mahitaji muhimu kama taulo za kike kuwa ngumu, hasa pale familia zinapokabiliwa na changamoto za kipato.
Je, msichana anapopata hedhi kipindi cha mvua kubwa za El nino, afanyaje?
Pata ushauri kutoka kwa:
Tuambie maoni yako: Je unajua kuwa unaweza kutengeneza taulo za kike nyumbani, zinazoweza kutumika zaidi ya mara moja?
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
In this episode, we explored the positive and negative impact of social media on girls. We discussed how social media can create peer pressure and unrealistic expectations, while also serving as a valuable tool for education, entrepreneurship, marketing and career growth.
Through conversations with girls, parents, mentors and influencers, we emphasized the importance of using social media responsibly. Parents also highlighted the need to guide and monitor their children's online activities to ensure a safe and positive digital experience.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
Girls learn that they can be leaders in environmental conservation by understanding the impact of pollution, creating solutions, educating their communities and using their ideas to make a positive change. The episode encourages them to see themselves as important contributors to a cleaner and more sustainable future.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
The episode talks about menstruation as a normal part of growing up, encouraging girls to embrace their periods without shame, practice good menstrual hygiene, seek support when needed and understand that periods should not stop them from pursuing their education and goals. It also challenges myths and promotes confidence, knowledge and healthy choices.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
This episode explores the mental health challenges facing young girls, including low self-esteem, family conflicts, stigma and societal pressure.
Through anonymous stories shared by girls and expert insights, it highlights how these challenges affect their education, well-being and decision-making.
The episode also discusses solutions such as mentorship, psychosocial support, parent engagement and community awareness to help girls feel heard, supported and empowered.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
About This Episode
The episode examined negative societal attitudes toward girls’ leadership—especially the belief that leadership belongs to men, and questioned whether boys see girls’ leadership as a threat.
What You'll Learn
The girl learns that leadership is not limited to boys.
She learns to believe in her abilities, speak up and confidently pursue leadership roles despite negative stereotypes.
The episode also shows the importance of support from teachers and parents in encouraging girls to participate in leadership and decision-making at school and at home.
Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!
About This Episode
This episode examines the statistics, gaps, and systemic barriers that prevent women from accessing leadership positions, and discussed what must change to enable their participation.
What You'll Learn
Leadership requires education, ambition, visible support, strong mentors, and the initiative to actively seek and take leadership opportunities.