Amedeus Live Podcast

Mungu anazungumza Kupitia Neno Lake.


Listen Later

Mungu na Neno lake ni wamoja.
Fikra yake, sauti yake, mawazo yake yanawakilishwa katika neno lake!
Huwezi kutambua sauti yake kama hautambui neno lake.
Jifunze neno lake kila siku.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael