Kupitia moyo wako unaweza kumruhusu ibilisi kutenda kazi duniani ama Mungu kutenda kazi duniani. Mtizamo katika moyo wako usipokubaliana na mawazo ya Mungu(neno) inamaana huwezi kupata majibu yenye sifa na tabia ya Mungu. Ni muhimu mtizamo wa ndani ya moyo wako ukukubaliane na neno la Mungu, Tumsikilize Mwalimu katika somo hili