Waefeso 2:8 Neno linatuambia tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani na si kwa matendo yetu, hfahamu kuwa kuwa hakuna tendo lolote jema linaloweza kukutunzia wokovu bali Yesu Kristo peke yake ndiyo anaweza kukutunzia wokovu, Tumsikilize Mwalimu akitufundisha kuishi kwa imani na si kwa matendo katika sehemu hii ya somo