matokeo ya maisha yako uliyonayo sasahivi ni matokeo ya kufikiri kwako; kwasababu kufikiri kwako ndiyo kumeamua uamini vipi. Kama unafikiri vibaya siku zote utaamini vibaya na ukiamini vibaya utakuwa unatenda vibaya na ukitenda vibaya utapata matokeo mabaya na ukipata matokeo mabaya utaishia kumlaumu Mungu.