Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.
๐ฅ Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo