Mwangaza Institute

Mwangaza Institute

By Brother HilalEducationSelf-Improvement
Download on the App Store

All Mwangaza Institute episodes

  • Story ya Adam na Hawa

    katika Episode hii tumeeleza Story ya Adam na Hawa, story ambayo ni Muhim kwetu kujua maana hapo ndipo Watu sote tulipo anzia


    Elimika nasi Elimika na Mwangaza Institute



    23 min
  • Stori za Qur-an kufanana na za Bible

    kwenye Episode 4 tumeeleza sababu zinazo pelekea kufanana kwa Stori za Qur-an na vitabu vilivyo tangulia, kama tunavyojua kuwa Uislamu unatuhumiwa kuiba Stori kutoka kwenye Vitabu vilivyo Tangulia.

    Tumejibu vizuri mgogoro huu, soma nasi na tu follow kwa Episode zijazo.

    38 min
  • The Foundation, Episode 3

    Tumeanza na Historia yetu Binadamu kabla ya kuumbwa Adam, tumeelezea umuhimu wa Historia na faida zake.. na mengine mengi.


    Ungana nasi kwenye Safari yetu hii ya Msingi wa Imani.

    30 min
  • Foundation Ep2

    tumejaribu tonesha udhaifu kiakili kwenye sector za Science, watu wa Mila na Uktristo juu ya swala zima la Imani.mazungumzo yameegemea juu ya Mdahalo wa watu wa Dini na wasio na Dini YouTube naomba niweke link yao ili muuangalie https://www.youtube.com/watch?v=CK7TPxO6Dp4&t=5505s


    58 min