Karibu Kwenye Episode.1. Leo Niko Na Atsu Kijana Mtanashati Kabisa Na Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Pia Ni Shabiki Wa Muziki Wetu Huu Wa Bongofleva Akitokea Huko Iringa. Nilimuuliza Maswali Kumi Kuhusiana Na Tasnia Yetu Hii Je Aliweza Au Aliboronga? Tusikilize.