Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi!Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza.Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni| Radio TBC Taifa kila Jumapili saa... more
FAQs about Naweza Show:How many episodes does Naweza Show have?The podcast currently has 22 episodes available.
June 08, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzitoHapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?...more27minPlay
June 08, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 9: Umuhimu wa kumnyonysha mtoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa kitu chochote..inakuletea simulizi kutoka kwa Chagu. Mama mkwe wake na Chagu hakuona umuhimu wa Chagu kumnyonyesha mwanae mchanga maziwa yake tu kwa miezi sita ya mwanzo, ni yapi yalimsibu chagu baada ya hapo....more27minPlay
May 14, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu....more27minPlay
May 14, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 7: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya magonjwa.Sehemu ya 7 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka kwa Tulia. Yeye ni binti aliyepitia maisha mengi magumu na machungu ndani ya jiji la dar es salaam, na tunajifunza umuhimu wa kuwapeleka watoto wetu katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tupoona dalili hatarishi kwao na tunashauriwa kutowapa dawa watoto wetu bila kuwapima na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya....more27minPlay
May 02, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 6: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi sita ya awali.Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko. Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama....more27minPlay
April 25, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 5: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzitoKatika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bupe.Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito....more27minPlay
April 18, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 4: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya malaria.Katika sehemu ya nne ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Sitti.Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto. Na jinsi gani wanaume wanapaswa kushiriki katika malezi ya watoto na kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tu waonapo dalili za hatari....more27minPlay
April 13, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 3: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto MchangaKatika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Waridi. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto mchanga....more27minPlay
April 06, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 2: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzitoKatika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bhoke. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito....more27minPlay
March 30, 2020Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 1: Kumpeleka mtoto kwenye kituo cha afya anapoonesha dalili ya #Malaria. #NawezaSikiliza simulizi ya Ruta, kutoka Bukoba. Leo tutajifunza kuhusu umuhimu wa kumuwahisha mtoto kwenye kituo cha afya pale anapoonesha dalili za #Malaria. #Naweza...more26minPlay
FAQs about Naweza Show:How many episodes does Naweza Show have?The podcast currently has 22 episodes available.