
Sign up to save your podcasts
Or


MADA: USTAWI KIFEMINIA NI NINI?
KWA NINI UNABADILISHA NAMNA
TUNAVYOUELEWA USTAWI?
Ni mfumo gani unaouona ukiwazuia
wanawake wengi katika jamii yako
kustawi kikamilifu? - ustawi wa kweli
una maana gani?
MADA: USTAWI KIFEMINIA NI NINI?
KWA NINI UNABADILISHA NAMNA
TUNAVYOUELEWA USTAWI?
Ni mfumo gani unaouona ukiwazuia
wanawake wengi katika jamii yako
kustawi kikamilifu? - ustawi wa kweli
una maana gani?
MADA: UFEMINIA NI NINI? KWANINI BADO UNAHITAJIKA LEO? Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inakukutanisha na Prof. Ruth Meena na Mary Ndaro kulizungumzia hili kwa kina. Upande wa Sauti ya Mwanamke tutakuwa nao Hellen Sisya na Binti kutoka kwa Aluwa Karibuni sana mjumuike nasi mwanzo hadi mwisho.
From the publisher's feed
Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, tunahoji na kuifumua…