Mwl. Erick’s Podcast

NGUVU YA MANENO


Listen Later

Maisha yetu yanatawaliwa na maneno yetu kuliko wengi wanavyodhani

Sio tu miili yetu bali hata hatima zetu ziko chini ya utawala wa meneno ya vinywa vyetu. Kwenye somo hili utajifunza nguvu iliyo kwenye maneno sio tu unayoyatamka bali hata yae unayoyasikia. Sikiliza somo hili na Maisha yako yatakua udhihirisho wa utukufu na ukuu wa Mungu

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mwl. Erick’s PodcastBy Christ Embassy Kawe