
Sign up to save your podcasts
Or


JAMBO MUHIMU KWA MAFANIKIO
Mafanikio ya kweli hayategemei mawazo makubwa, fedha, au mahusiano ya kibinadamu pekee, bali yanategemea maelekezo ya Mungu.
Maisha yetu yanatawaliwa na maneno yetu kuliko wengi wanavyodhani
Kwenye series hii fupi ya utajifunza neno la Mungu litalokuweka huru kabisa na hofu. Utatembea kwenye ushindi uliotiwa kutembea. Unyonge na hofu vitakua mbali nawe. Njoo pamoja nami kwenye neno la Mungu na hakika utarudi na shuhuda.
Karibu kwenye mafundisho yenye nguvu Udhihirisho Pt. 1.
Utagundua:
Jinsi kweli ya Mungu inavyokuwezesha kuishi maisha ya ushindi
Namna ya kudhihirisha kile unachoamini katika ulimwengu wako
Jinsi ya kuishi bila mkanganyiko, bali kwa mwanga wa Neno la Mungu
Somo hili litakujenga kiroho, litakutia nguvu ya imani, na litakusaidia kuishi kile Mungu amesema kuhusu maisha yako.
From the publisher's feed