Yesaya Software Podcast

Nimefanya Uchambuzi wa Episode Tisa (9) Zilizopita


Listen Later

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na … anyways leo mwenyewe na sina mgeni hapa nimeona ni vyema kukafanya mapitio ya matoleo tisa (9) yaliyopita na episode ya 10 imekuwa ni ya kipee kabisa kama milestone muhimu ya kujitafakari na kupata feedback kutoka kwako.

Nimefanya uchambuzi wa matoleo tisa (9) yaliyopita, nimekukumbusha machache wasemaji wetu walivyochangia. Ilikuwa wakati mzuri sana na nimejifunza mengi sana kupitia wao. Nawashukuru sana sana.

  1. Episode 01 - Georgia
  2. Episode 02 - Sam
  3. Episode 03 -  Jonathan
  4. Episode 04 - Naamini
  5. Episode 05 - Billy
  6. Episode 06 - Ephraim
  7. Episode 07 - Dr. Neema
  8. Episode 08 - Mohamed
  9. Episode 09 - Anthony

Kipee kabisa napenda niwashukuru wasikilizaji kwa kusikiliza Yesaya Software Podcast, nifuraha kubwa sana jumuika pamoja nanyi na ninapata hamasa na moyo kuendelea kwa ujumbe na comment mnazo nitumia. Nawashukuruni sana.

Kwenye toleo hili nimegusia tuu pasi na umuhimu ujio wa Yesaya Software Website, Chatbot pamoja na Mobile app, Na kwa maana ya kuchangia huduma hii nitaanzisha e-commerce page ambapo nitaweka vitu kama t-shirts, kofia na stiker mbalimbali kuhusu Programming and Developers tool ili kuweza changia huduma nayo fanya.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings