Yesaya Software Podcast

Nimeongea na Mke wangu kuhusu Maisha ya Mahusiano kwa Programmers


Listen Later

Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Dorah P. Ndazi ana title mbalimbali muhimu kabisa lakini kubwa kabisa ni mke wangu dada huyu na nilipenda kupata mawazo yake kuhusu kuishi na Programmer, changamoto anazopitia na ushauri wake. Niligusigusia tuu kuhusu kulea watoto, kusheherekea mambo mbalimbali kama birthday na vile uko na code inasumbua lakini unafanyaje kutoa muda kuwa na familia.

Pia inakuwaje kufanyia kazi project isiyo na pesa wakati unadedicate muda wako kama mke anakabilianaje na hilo, unaonekana unafanya kazi na hakuna income yoyote, ni vipi unabaki kwenye lengo katika hali hii.

Unafahamu nilimpataje?

Nilikuwa na wakati mzuri sana kuzungumza na mke wangu kuhusu maisha ya mahusiano na programmer. Episode hii imenipa fursa binafsi kufahamu mambo anayoniwazia mke wangu na changamoto ninazompa kwa kazi yangu.  

Hii itanisaidia katika kuyapa kipaumbele maeneo ambayo hayatasababisha nimkoseshe furaha na nizidi kuipatia familia yangu muda unaostaili na pia nijipange vizuri katika kazi zangu.

It was a true conversation between us, na ninafuraha tumeweza zungumza.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Yesaya Software PodcastBy Yesaya R. Athuman

  • 5
  • 5
  • 5
  • 5
  • 5

5

2 ratings