Hapa tumenzumzia vitu ambavyo ni hatarii kwa afya ya mwanandamu lakini vimekuwa vikipuziwa na kupewa nafasi ya khali ya juu kwenye matumizi, Too much warning but highly wanted. Karibu kusikiliza na mwalike na mwenzako tupate kuungana na kushare some feelings.