Amedeus Live Podcast

Omba Kwa ajili ya wengine


Listen Later

Simama katika nafasi iliyowazi kwa ajili ya familia yako, shule, mji na taifa lako. Unaweza kusabibisha mabadiliko makubwa Sana kupitia Dua, Sala, maombezi na Shukrani kwa ajili ya jamii Yako.
Bariki ulimwengu leo kwa kupitia Sala na maombezi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael