Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika ny... more
FAQs about Pastor Clement Kingo:How many episodes does Pastor Clement Kingo have?The podcast currently has 9 episodes available.
August 08, 2024Kijiwe Cha Wanaume- Nafasi ya MwanaumeMazungumzo ya Wanaume, kwa ajili ya kujengana na kujifunza, maalum kwa ajili ya Wanaume....more19minPlay
June 12, 2023Kutenda kwa HekimaMambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kutenda, wakati wa kutenda na baada ya kutenda. Maisha yetu Ni jumla ya matendo tunayoyatenda, matokeo tulionayo ni jumla ya matendo tuliotenda na matokeo tutakayokuwa nayo yatatokana na matendo tutakayotenda....more16minPlay
March 28, 2023Kuongea Kwa Hekima - Hekima Series 03Sio kila unachofikiria unasema, sio ilimradi umesema, unahitaji kupima na kuchagua maneno ya kusema. Jifunze Hekima katika kusema.- unaweza kuamua Nini Cha kusema - Amua kutawala kinywa Chako- Bora kusikiliza kuliko kusema- usiseme kwa haraka- kimjazacho mtu ndicho kimtokacho...more31minPlay
March 22, 2023Namna ya kupata Hekima - Hekima Series 02Vyanzo Saba vya Hekima..!Mambo Saba ya kukusaidia kupata Hekima...!...more21minPlay
March 22, 2023Muhimu kusuhu Hekima - Hekima Series -01Umuhimu wa HekimaHekima ni Nini? Wana wa nuru Mara nyingi hawatumii Hekima.Maeneo muhimu kutumia Hekima, Ndoa, malezi, Familia, Uchumi, kazi/biashara.. Utajuaje eneo gani unahitaji Hekima ya Mungu... Uhumimu wa Hekima..Mambo mawili Muhimu kuhusu Hekima......more18minPlay
March 22, 2023Hekima series - TrailerTrailer ya Hekima series, kwa kifupi kwanini ufuatilie Hekima series...more2minPlay
March 20, 2023Namna ya kupata ulinzi wa Mungu!Tunahitaji Ulinzi wa Mungu,jifunze namna ya kupata ulinzi wa Mungu wakati wowote mahali popote...more28minPlay
March 19, 2023Sitakuacha Sitakupungukia - Pastor Clement KingoMungu amehidi hatakuacha, hata sasa Mungu hatakuacha hatakungukia!...more2minPlay
FAQs about Pastor Clement Kingo:How many episodes does Pastor Clement Kingo have?The podcast currently has 9 episodes available.