Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Peter Njenga: Mchezo wa riadha watumika kukaribisha wageni wa mkutano Kenya

05.10.2024 - By United NationsPlay

Download our free app to listen on your phone

Download on the App StoreGet it on Google Play

Siku ya kwanza ya mkutano huo wa Umoja wa Mataifa wa mashirika ya kiraia, UNCSC ilitanguliwa na mbio za kukaribisha wageni kwenye jiji la Nairobi, nchini Kenya ambapo Peter Njenga anayehusika na michezo ya riadha katika Kaunti ya Nairobi anaelezea umuhimu wa mbio hizo walizoandaa kwa ushirikiano na waandaji wa mkutano huo. Bwana Njenga akaoanisha michezo na amani.

More episodes from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu